Tazama Picha 12 za Soko la bidhaa mbalimbali Kila Jumamosi la Kojifa mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 15, 2013

Tazama Picha 12 za Soko la bidhaa mbalimbali Kila Jumamosi la Kojifa mjini Ngara.

Ni muonekano wa  bidhaa mbalimbali ndani ya Soko la Kila Jumamosi la Kojifa mjini Ngara..Ni soko ambalo kwa maoni ya wadau waliowengi wanashauri liboreshwe walau kwa kujengwa chanja za kupangia bidhaa ili kulifanya kuwa soko la Kisasa zaidi kuliko  sasa wauzaji wake wakipanga bidhaa chini na wakati mwingine mvua ikinyesha hujaa matope.

 








Ni muonekano wa  bidhaa mbalimbali ndani ya Soko la Kila Jumamosi la Kojifa mjini Ngara..ambapo kwa sasa baadhi ya  wauzaji wake hupanga bidhaa chini kama unavyoona katika picha.


Ni muonekano wa  Muhogo mkubwa ukionekana kuuzwa ndani ya Soko la Kila Jumamosi la Kojifa mjini Ngara..

1 comment:

Post Bottom Ad