Tazama Picha 6 za jengo Jipya la Bweni litakalochukua Wavulana wa Kidato cha Tano katika shule ya sekondari Muyenzi iliyoko kata ya Rulenge wilaya ya Ngara Mkoani Kagera . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 16, 2013

Tazama Picha 6 za jengo Jipya la Bweni litakalochukua Wavulana wa Kidato cha Tano katika shule ya sekondari Muyenzi iliyoko kata ya Rulenge wilaya ya Ngara Mkoani Kagera .


Ni Jengo la Bweni la Wavulana  wa  Kidato cha tano kinachotaraji kuanzishwa katika shule ya sekondari Muyenzi  iliyoko kata ya Rulenge  wilaya ya Ngara Mkoani Kagera ,lililojengwa kwa jumla ya Shilingi milioni 75  ikijumuishwa  Choo na Umeme wa Mionzi ya Jua (SOLA).



Jengo la bweni la wavulana wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Muyenzi katika wilaya ya Ngara Mkoani kagera likionekana kabla ya kufunguliwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika.


Toka kushoto ni Afisa elimu Sekondari wilaya ya  Ngara Bw.Julius Nestory akiwa na Afisa vielelezo Bw.Jonah Katanga wakikagua Bweni hilo kwa ndani  Litakalo chukua wanafunzi wa Kidato cha tano hivi Karibuni.



Afisa elimu Sekondari wilayani Ngara Bw.Julius Nestory akiwa na Afisa vielelezo Bw.Jonah Katanga wakikagua  Jengo la Choo kwa ndani katika shule ya sekondari Muyenzi  iliyoko kata ya Rulenge  wilaya ya Ngara Mkoani Kagera ,inayotarajiwa hivi karibuni kuanzisha Kidato cha tano.



Afisa elimu Sekondari wilaya ya  Ngara Bw.Julius Nestory akiwa na Afisa vielelezo Bw.Jonah Katanga wakiwa nje ya Choo mara baada ya kukamilisha ukaguzi na kuridhishwa na mkandarasi aliyejenga kwa thamani ya shilingi milioni 75(Picha na Shaaban Ndyamukama).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad