Taswira Kutoka Mtaani Kwako: Picha Mbalimbali na Camera ya Mwana wa Makonda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 18, 2013

Taswira Kutoka Mtaani Kwako: Picha Mbalimbali na Camera ya Mwana wa Makonda.


……..Kitu hicho…..na Ujumbe…’’Ni makosa …Kumjua ..Boss………




Tazama vema  Taswira  ya huyu Dereva Bodaboda alipokutwa na Camera yetu  Kitaani …..sijui…ukitazama vema unagundua kabeba nini……


Taswira Juu na Chini........ wavunja sheria …kila siku wapo…….ila mtekelezaji wa sheria sijui mwoga….kitu mshikaki hicho…..na Bodaboda………



Hapa napo  hawa Wadau walikutwa na  Camera yetu  wakimpakiza huyo Ng’ombe tayari kwa kumsafirisha  kwa kutumia gari ndogo hiyo …maarufu kwa jina la Mchomoko/Kisamaki..


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad