VIDEO:Makamuzi ya Diamond Platnumz Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013 Uwanja wa Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 17, 2013

VIDEO:Makamuzi ya Diamond Platnumz Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013 Uwanja wa Taifa.


Katika Tamasha hilo la usiku wa Matumaini mwaka huu 2013(Julai 07) Rais wa Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ alijitupa jukwaani kwa mbwembwe za hali ya juu akiwa sambamba na wacheza shoo wake na kusababisha watu washindwe kukaa kwenye viti vyao, kila mmoja akawa anajiachia kivyake na swaga za Platnumz.



Ngoma kali kama Ukimwona, Nimpende Nani... ziliwabamba kinomanoma maelfu ya watu waliokuwa wamefurika uwanjani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad