Man United yachupa hadi nafasi ya pili, Chelsea bado juu huku Liverpool ikibanwa sare 0-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 07, 2012

Man United yachupa hadi nafasi ya pili, Chelsea bado juu huku Liverpool ikibanwa sare 0-0.

Katika Mechi za Ligi Kuu Uingereza zilizochezwa wiki endi hii, Manchester United, wakicheza huko Sports Direct Arena, waliwachapa wenyeji wao Newcastle bao 3-0 na kushika nafasi ya pili wakiwa Pointi 4 nyuma ya vinara Chelsea ili hali  huko Anfield Liverpool walitoka 0-0 na Stoke City na ndani ya White Hart Lane, Tottenham wameendeleza wimbi la ushindi kwa kuichapa Aston Villa bao 2-0.



Matokeo mengine:
Southampton 2 Fulham 2
Manchester City 3 Sunderland 0
Chelsea v Norwich City
Swansea City v Reading
West Bromwich Albion v Queens Park Rangers
Wigan Athletic v Everton
West Ham United 1 Arsenal 3

RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi Oktoba 20
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
Tottenham v Chelsea

[Saa 11 Jioni]

Fulham v Aston Villa
Liverpool v Reading
Man United v Stoke City
Swansea v Wigan
West Brom v Man City
West Ham v Southampton

[Saa 1 na Nusu Usiku]
Norwich v Arsenal

Jumapili Oktoba 21
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Sunderland v Newcastle

[Saa 12 Jioni]
QPR v Everton

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad