Dalili za Ebola Tanzania - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, August 06, 2012

Dalili za Ebola Tanzania

Watanzania huenda wakakumbwa na ugonjwa hatari wa Ebola endapo serikali haitachukua hatua za haraka kudhibiti wimbi la wageni kutoka nchi jirani baada ya mtoto mwenye umri wa miaka sita mkazi wa Murongo mpakani mwa Tanzania na Uganda wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera kubainika anadalili zinazofanana na ugonjwa wa Ebola.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad