LIGI KUU UINGEREZA : RATIBA MSIMU wa 2012/13 YATOKA! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 18, 2012

LIGI KUU UINGEREZA : RATIBA MSIMU wa 2012/13 YATOKA!

Wasimamizi wa LIGI KUU Uingereza  leo wameitangaza Ratiba ya Msimu mpya wa Ligi utakaoanza Agosti 18 na kumalizika tarehe 19 Mei 2013.


Msimu huu utatanguliwa na Mechi ya fungua pazia kugombea Ngao ya Hisani itakayochezwa hapo Agosti 12 kati ya Mabingwa wa Ligi Manchester City na Mabingwa wa FA Cup Chelsea.

Mabingwa Watetezi Manchester City wataanza kampeni yao kutetea Taji kwa Mechi ya nyumbani kwa kucheza na Southampton Timu ambayo imepanda Daraja Msimu huu.

Manchester United wataanza ugenini huko Mjini Liverpool kwa kucheza na Everton.

RATIBA 'BIGI MECHI [Mechi zenye mvuto]:

Jumamosi Septemba 1

Liverpool v Arsenal



Jumamosi Septemba 22

Liverpool v Manchester United

Manchester City v Arsenal

Jumamosi Septemba 29

Arsenal v Chelsea

Manchester United v Tottenham Hotspur

Jumamosi Oktoba 27

Chelsea v Manchester United

Everton v Liverpool

Jumamosi Novemba 3

Manchester United v Arsenal

Jumamosi Novemba 10

Chelsea v Liverpool


Manchester City v Tottenham Hotspur

Jumamosi Novemba 17

Arsenal v Tottenham Hotspur

Jumamosi Novemba 24

Chelsea v Manchester City

 



Jumamosi Desemba 8

Manchester City v Manchester United

RATIBA KAMILI:

FAHAMU: MABADILIKO YANAWEZA KUTOKEA.

2012

Jumamosi Agosti 18

Arsenal v Sunderland

Everton v Manchester United

Fulham v Norwich City

Manchester City v Southampton

Newcastle United v Tottenham Hotspur

Queens Park Rangers v Swansea City

Reading v Stoke City

West Bromwich Albion v Liverpool

West Ham United v Aston Villa

Wigan Athletic v Chelsea

 



Jumamosi Agosti 25

Aston Villa v Everton

Chelsea v Newcastle United

Liverpool v Manchester City

Manchester United v Fulham

Norwich City v Queens Park Rangers

Southampton v Wigan Athletic

Stoke City v Arsenal

Sunderland v Reading

Swansea City v West Ham United

Tottenham Hotspur v West Bromwich Albion

KWA RATIBA KAMILI BOFYA::www.soccerway.com/national/england/championship/20122013/regular-season/

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad