Heshima kwake Sir Leodger Tenga,lakin bado atahitajika kuishaur i Serikali mpya ya TFF na wachezaji kwa ujumla'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 28, 2012

Heshima kwake Sir Leodger Tenga,lakin bado atahitajika kuishaur i Serikali mpya ya TFF na wachezaji kwa ujumla''

Kila mpenda michezo nchini anamfahamu Leodgar Tenga rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF.


Akiwa anamalizia kipindi chake cha miaka minane kwenye uongozi, Tenga atakumbukwa kwa kuweza kuubadilisha mfumo wa mpira wa miguu nchini na kuwa kiushindani zaidi huku akirudisha mapenzi ya Watanzania kwa timu ya Taifa na anaondoka huku akiacha nguvu kubwa ya shirikisho ikielekezwa kwenye Soka la vijana. 

 



Tunampongeza sana Tenga kwa kuwa chachu ya mabadiliko ya michezo nchini.

 

Kikosi cha Taifa Stars kilicho cheza  dhidi ya Ivory Coast


Kipa; Juma Kaseja


Mabeki; Shomari Kapombe, Amir Maftah, Aggrey Morris na Kevin Yondani.


Viungo; Shabani Nditi, Salum Abubakari, Frank Domayo na Mwinyi Kazimoto.


Washambuliaji; Mbwana Samata na Mrisho Ngasa


Wachezaji wa akiba; Mwadini Ali, Waziri Salum, Juma Nyoso, Erasto Nyoni, John Bocco, Simon Msuva, Jonas Mkude, Christopher Edward na Ramadhan Singano.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad