Matokeo ya kura za Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki yametangazwa sasa hivi na Msimamizi wa Uchaguzi Bw Gracias Kagenzi amemtangaza mgombea wa CHADEMA Bw Nassari kuwa mshindi baada ya kupata kura 32,972 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka CCM Bw Sioi Sumari aliyepata kura 26,757
AIDHA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDIWANI TANZANIA NZIMA IKIWA NI UCHAGUZI NDOGO
1.Vijibweni final results-CCM 1198; CHADEMA 799; CUF 776. [ KIGAMBONI ] OFFICIAL
2..Kata ya Kiwira #CHADEMA 2621 #CCM 1649
3.Kirumba Mwanza #CHADEMA 2938 #CCM 2131
4. CUF imeshinda Msambweni-Tanga
5. CHADEMA imeshinga Lizaboni Songea
6. Chang'ome Dodoma CCM wameshinda
2..Kata ya Kiwira #CHADEMA 2621 #CCM 1649
3.Kirumba Mwanza #CHADEMA 2938 #CCM 2131
4. CUF imeshinda Msambweni-Tanga
5. CHADEMA imeshinga Lizaboni Songea
6. Chang'ome Dodoma CCM wameshinda
Matokeo kwa Vyama vingine sita vilivyoshiriki ni kama ifuatavyo
DP -77
NRA - 35
AFP - 139
UPDB - 18
TLP - 18
SAU - 22
DP -77
NRA - 35
AFP - 139
UPDB - 18
TLP - 18
SAU - 22
Kwa mujibu wa Bw Kagenzi zaidi ya watu 120,000 walijiandikisha na aliojitokeza na kupiga kura walikuwa 60,696 ambapo kura halali zilikuwa 60,038 na zilizoharibika ni kura 661.
No comments:
Post a Comment