Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akikamua live ndani ya Mlimani City huku tukio kubwa ukumbini hapo ni Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show hii ya DIAMONDS ARE FOREVER alijikuta akipata aibu pale alipotoka kwenye kiti chake na kwenda kumtunza Diamond akiwa anaimba kwa steji na hela yake kutopokelewa na mtu mzima kuipotezea hela ile daaaaah''Ukumbi ukalipuka kwa Yoweee - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 31, 2012

Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akikamua live ndani ya Mlimani City huku tukio kubwa ukumbini hapo ni Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show hii ya DIAMONDS ARE FOREVER alijikuta akipata aibu pale alipotoka kwenye kiti chake na kwenda kumtunza Diamond akiwa anaimba kwa steji na hela yake kutopokelewa na mtu mzima kuipotezea hela ile daaaaah''Ukumbi ukalipuka kwa Yoweee


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad