Taswira ya Ufunguzi Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 10, 2018

Taswira ya Ufunguzi Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Kagera wakati alipofungua Mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary  (wasita kushoto) wakitazama mechi ya  mpira wa Kikapu  kwa wanawake baada ya kufungua mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM  Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018.  

Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza na watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella. Pichani, Aisha Nasoro wa Dodoma (kulia) akimtoka  Zurfa Maulid wa Singida.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji timu ya mpira wa Kikapu ya wanawake kutoka mkoa wa  Singida wakati alipofungua Mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mashindano  ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6
Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mwanza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia kabla ya kufungua Mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru ya jijini Mwanza wakionyesha halaiki kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018.  
10
11
Baadhi ya wanamichezo wanaoshiriki katika Mashindano ya 39 ya UMISSETA  na UMITASHUMTA ngazi  Taifa wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mashindano hayo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Juni 9, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad