Matokeo Ligi ya Mabingwa wa Mikoa na Ratiba May 16,2018. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 15, 2018

Matokeo Ligi ya Mabingwa wa Mikoa na Ratiba May 16,2018.

Mabingwa wa Soka mkoa wa Kagera-Kumuyange FC watashuka kwenye uwanja wa WAJA kwenye mchezo wao wa May 16, 2018 dhidi ya Mabingwa wa mkoa wa Mara –Nyamongo FC.

Mchezo wa mapema hiyo kesho May 16 utakuwa saa 8 mchana ambapo Wenyeji Gipco FC  ya Geita watawavaa Phantom FC ya Mwanza na ambao ndo vinara wa kundi hilo. 

KUNDI B -RUKWA.

Kesho May 16, 2018 Tabora FC ya Tabora watacheza saa 8 mchana na Migombani FC ya Songwe huku saa 10 jioni Laela FC ya Rukwa watawavaa Black Belt FC ya Ruvuma.

Sahare all Stars ya Tanga  itacheza na Uzunguni FC ya Kilimanjaro  huku jioni Karume Maketi ya Dar es Salaam wakicheza dhidi ya Bishop  ya Arusha katika mchezo wa Ligi hiyo ya Mabingwa wa Mikoa  kundi D huko mkoani Kilimanjaro kwenye uwanja wa CCM Bomangombe .

Post Bottom Ad