Breaking News: Basi la Complex Limepata Ajali Malendi, Singida. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 16, 2018

Breaking News: Basi la Complex Limepata Ajali Malendi, Singida.

Muonekano wa basi hilo baada ya Ajali.

 Basi la Complex lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, limepata ajali usiku huu maeneo ya Malendi mkoani Singida.
Chanzo cha ajali bado hakijafahamika ila basi hilo limegongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso na baadhi ya abiria wajeruhiwa na imeripotiwa kuna vifo.

Taarifa zaidi tunaendelea kuwaletea. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad