Ronaldo Aiweka Real Madrid Mguu ndani Robo Fainali UEFA Champions League. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

Ronaldo Aiweka Real Madrid Mguu ndani Robo Fainali UEFA Champions League.

Mchezaji Marcelo akifurahia goli alilolifunga kwa shuti kali dakika ya 86 dhidi ya PSG wakati timu yake ya Real Madrid ikicheza na PSG mchezo huo wa Jumatano February 14,2018 wa 16 bora UEFA Champions League na anaemuunga katika furaha ni  Zinedine Zidane' Kocha wa Real Madrid.

Real Madrid imefanikiwa kushindwa magoli 3-1 dhidi ya PSG  katika mchezo wa 16 bora wa Klabu Bingwa barani ulaya uliochezwa usiku wa Jumatano February 14,2018.

Mchezo huo uliokuwa nyumbani kwa Madrid, Mchezaji bora Duniani Cristiano Ronaldo alifunga magoli mawili katika dakika ya 45', 83', huku lile la 3 likifungwa na Marcelo 86' wakati lile la PSG limefungwa na Adrien Rabiot  dakika 33'



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad