FC Porto Yakubali kulizwa Mkono na Liverpool. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

FC Porto Yakubali kulizwa Mkono na Liverpool.

Mshambuliaji Sadio Mane amefunga hat-trick dakika ya 25, 53, 85  na kuisaidia Timu yake ya Liverpool kushindwa magoli 5-0 dhidi ya wenyeji FC Porto jana February 14,2018 Uwanja wa Do Dragao,nchini Ureno katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya .
 

Magoli mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 29, na Roberto Firmino katika dakika ya 69.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad