Serikali
ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imeutahadharisha umma wa Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Homa ya
Chikungunya ambao huambukizwa na Mbu aina ya aedes na hauna tiba mahsusi wala
kinga.
Isome taarifa hii Hapa chini kuelewa zaidi kuhusu ugonjwa huo.
|
No comments:
Post a Comment