Taswira Picha Lori la GSM laanguka Rwanda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 16, 2018

Taswira Picha Lori la GSM laanguka Rwanda.

Ajali hii imetokea eneo la Nyanza,Kigali,Rwanda na kulihusisha Lori hili pichani Mali ya Kampuni ya GSM namba  T 560 DEB  likitoka Dar Es Salaam kwenda Kigali.

Hakuna kifo kilichoripotiwa kutokea kwani Alikuwemo Dereva Peke yake na Alipata Majeraha na kutibiwa.


Dereva wa Lori hilo ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa kakaa chini ,haamini kilichomtokea na alipata Majeraha na kutibiwa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad