![]() |
Samike (wa
pili kulia) akiwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU baada ya kumkabidhi
Wastara fedha hiyo.
|
![]() |
Katibu wa
Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya
kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth
Magufuli kwa ajili ya matibabu.
Pia aliwasilisha mchango wa sh milioni moja na
laki tisa toka kwa wasaidizi wa Rais.
SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo
kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
|
No comments:
Post a Comment