Mbunge Amina Mollel: Wazazi Msiwafiche Watoto wenye Ulemavu Ndani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 06, 2017

Mbunge Amina Mollel: Wazazi Msiwafiche Watoto wenye Ulemavu Ndani.

Mbunge wa viti maalumu CCM Amina Mollel akiwa anacheza ngoma ya kimasai pamoja na baadhi ya wamasai waliojitokeza katika sherehe za   kupandisha ngazi ya  rika kutoka katika rika la kurianga kuingia katika rika ya uzee (habari picha  na  woindeshizza blog )


Mbunge akiwa na Wananchi waliouthuria katika sherehe hizo.

Mbunge wa viti maalumu CCM Amina Mollel akiwa anasalimia na moja na mzee aliekuwa rrika la kurianga ambae kwa sasa ameingia katika rika  la Nyangulo  

Wazazi hususani Jamii ya Kimasai wametakiwa kuachana na zana ya kuwatenga na kutowapeleka shule watoto wa kike na wale ambao ni walemavu  badala yake wawapeleke mashuleni kwani wao ndio viongozi wa baadae

Hayo yamebainishwa na Mbunge wa viti Maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Mollel wakati alipokuwa akizungumza kama mgeni rasmi katika sherehe za  kupandisha ngazi rika kutoka katika rika la kurianga kuingia katika rika ya uzee,sherehe ambazo zilifanyika katika   Kijiji cha Oldenderet Kata ya Nduruma mkoani Arusha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad