|
Watu watatu
wanasadikiwa kufariki katika ajali ya Basi la SASEBOSSA lililokuwa likitokea
Jijini Mbeya kuelekea mkoani Tabora, iliyotokea katika kijiji cha Mabangwe
karibu na Ipole wilayani Sikonge mkoani Tabora.
Kwa taarifa
zaidi kuhusiana na ajali hii tutaendelea kuwajuza kadiri tutakavyokuwa
tukizipata..
|
No comments:
Post a Comment