Watu wawili Wafariki Dunia katika Ajali ya Basi mkoani Manyara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 02, 2017

Watu wawili Wafariki Dunia katika Ajali ya Basi mkoani Manyara.

Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka leo August 2,2017 eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara  Fransic Masawe akizungumza juu ya ajali hiyo alisema waliofariki kuwa ni kondakta na mtoto mdogo. 


Post Bottom Ad