Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kimetoa orodha ya majina 138 ya wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu ya chama
hicho kugombea ubunge wa majimbo ya uchaguzi kwa mwaka huu 2015.
Orodha ya
majina hayo ya wanachama walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo hayo,
imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa niaba ya
Katibu Mkuu.
Taarifa iliemeleza kuwa majimbo
ambayo hayatakuwa kwenye orodha hiyo yatatolewa baada ya kukamilika kwa
mashauriano ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Katika mgawanyo wa UKAWA wa majimbo
253 Kati ya 265 ya kuwania ubunge, CHADEMA imeongoza kwa kupata majimbo 138
(54%), ikifuatiwa na CUF majimbo 99 (29% yakiwemo 49 ya Zanzibar), NCCR-Mageuzi
majimbo 14 (5.5%) na NLD majimbo matatu (1.2%).
Ifuatayo ni orodha kamili ya majina
ya wanachama wa Chadema walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo hayo.
Mara
1.
Rorya STEVEN J OWAWA
2.
Tarime Mjini ESTHER N MATIKO
3.
Tarime Vijijini JOHN HECHE
4.
Musoma Vijijini ZAKARIA MBULA
CHIRAGWILE
5.
Butiama
YUSUPH R KAZI
6.
Bunda Mjini ESTHER BULAYA
7.
Mwibara HARUN D CHIRIKO
8.
Musoma
Mjini VINCENT J NYERERE
9.
Bunda Vijijini SULEIMAN DAUDI
Simiyu
1.
Bariadi
GODWIN SIMBA
2.
Maswa Magharibi ABDALA PATEL
3.
Maswa Mashariki SYLVESTER
KASULUMBAYI
4.
Kisesa MASANJA MANANI
5.
Meatu
MESHACK OPULUKWA
6.
Itilima
MARTINE MAGILE
Shinyanga
1.
Msalala
PAULO MALAIKA
2.
Kahama Mjini JAMES LEMBELI
3.
Kahama Vijijini (Ushetu) SIMON
BUKAKIYE ISAYA
4.
Shinyanga Mjini PATROAS PASCHAL
5.
Kishapu
FRED T MPENDAZOE
Mwanza
1.
Ukerewe JOSEPH MKUNDI
2.
Magu
KALWINZI NGONGOSEKE
3.
Nyamagana EZEKIA D.
WENJE
4.
Buchosa MARTINE KASWAHILI
5.
Sengerema HAMIS TABASAMU
6.
Ilemela
HIGHNESS KIWIA
7.
Misungwi LEONIDAS KONDELA
Geita
1.
Bukombe PROF. KULIKOYELA KAHIGI
2.
Busanda ALPHONCE C MAWAZO
3.
Nyang’wale GEORGE MABULA
4.
Chato
DR. BENEDICT LUKANIMA
5.
Mbogwe NICODEMUS H MAGANGA
Kagera
1.
Karagwe
PRINCE RWAZO
2.
Kyerwa
BENEDICT MTUNGIREHI
3.
Bukoba Mjini WILFRED LWAKATARE
4.
Muleba Kaskazini ANSBERT NGURUMO
5.
Muleba Kusini ALISTIDES KASHASILA
6.
Biharamulo DR. ANTHONY MBASSA
Mbeya
1.
Lupa
NJELU KASAKA
2.
Songwe
MPOKI MWANKUSYE
3.
Mbeya Mjini JOSEPH MBILINYI
4.
Kyela
ABRAHAM H MWANYAMAKI
5.
Rungwe
JOHN D MWAMBIGIJA
6.
Busokelo BONIPHACE A MWAMUKUSI
7.
Mbozi
PASCHAL HAONGA
8.
Momba
DAVID E SILINDE
9.
Mbeya Vijijini ADAM NZELA
10. Tunduma FRANK MWAKAJOKA
11.Vwawa FANUEL MKISI
Iringa
1.
Ismani
PATRICK OLE SOSOPI
2.
Kalenga
MUSSA L MDEDE
3.
Mufindi Kaskazini JUMANNE K MASONDA
4.
Iringa Mjini PETER MSIGWA
5.
Kilolo
BRIAN KIKOTI
6.
Mafinga Mjini WILLE MUNGAI
Njombe
1.
Njombe Kusini EMMANUEL MASONGA
2.
Lupembe (Njombe Kask) EDWIN E SWALE
3.
Wanging’ombe DISMAS A LUHWAGO
4.
Makete
JACKSON T MOGELA
5.
Ludewa
ATHROMEO MKINGA
6.
Makambako ORAPH MHEMA
Rukwa
1.
Nkasi Kusini ALFRED DANIEL SOTOKA
2.
Kwela
DANIEL NAFTAL NGOGO
3.
Nkasi Kaskazini KESSY SOUD
4.
Sumbawanga Mjini SADRICK MALILA
5.
Kalambo
VICTOR MATENI
Tanga
1.
Kilindi
JERADI K MREMA
2.
Muheza ERNEST MSINGWA
3.
Korogwe
AMANI H KIMEA
4.
Korogwe Vijijini EMMANUEL KIMEA
Kilimanjaro
1.
Rombo
JOSEPH SELASIN
2.
Same Magharibi CHRISTOPHER S MBAJO
3.
Same Mashariki NAGENJWA KABOYOKA
4.
Moshi Mjini JAFARY P MICHAEL
5.
Hai
FREEMAN A MBOWE
6.
Siha
DR. GODWIN MOLLEL
Arusha
1.
Arumeru Mashariki JOSHUA NASSARI
2.
Arumeru Magharibi GIBSON MESIYEKI
3.
Arusha Mjini GODBLESS LEMA
4.
Longido
ONESMO OLE NANGOLE
5.
Monduli
JULIUS KALANGA
6.
Karatu
WILLE QAMBALO
7.
Ngorongoro ELIAS NGORISA
Manyara
1.
Simanjiro JAMES KINYASI OLE MILLYA
2.
Mbulu Vijijini MIKEL PETRO AWEDA
3.
Hanang
MAGOMA RASHID DERICK
4.
Babati Mjini PAULINE P GEKUL
5.
Babati Vijijini LAURENT SURUMBU
TARRA
6.
Kiteto
KIDAWA ATHUMANI IYAVU
7.
Mbulu Mjini PAULO HERMAN SULLE
Dar es Salaam
1.
Ubungo
SAED KUBENEA
2.
Kawe
HALIMA JAMES MDEE
3.
Ukonga
MWITA MWIKWABE WAITARA
4.
Ilala
MUSLIM HASSANALI HEIDERALI
5.
Kibamba JOHN JOHN MNYIKA
Pwani
1.
Chalinze MATHAYO TM. TORONGEY
2.
Kibaha Mjini MICHAEL PAUL MTALY
3.
Kibaha Vijijini EDITHA BABBEIYA
Morogoro
1.
Mikumi
JOSEPH HAULE
2.
Morogoro Kusini DAVID LUKAGINGIRA
3.
Kilombero PETER E LIJUALIKALI
4.
Mlimba
SUZAN L. KIWANGA
5.
Mvomero OSWALD MLAY
6.
Ulanga Magharibi ALPHONCE MBASSA
7.
Ulanga Mashariki PANCRAS KONGOLI
8.
Morogoro Mjini MARCOSSY ALBANIE
Dodoma
1.
Kongwa
ESAU NGOMBEI
2.
Dodoma Mjini SINGO BENSON KIGAILA
3.
Bahi
MATHIAS LYAMUNDA
4.
Chilonwa JOHN CHOGONGO
Singida
1.
Iramba Magharibi JESCA KISHOA
2.
Iramba Mash(Mkalama) OSCAR KAPALALE
3.
Singida kaskazini DAVID DJUMBE
4.
Singida Mashariki TUNDU A LISSU
5.
Singida Magharibi MARCO ALLUTE
6.
Manyoni Magharibi LUPAA DONALD
7.
Manyoni Mashariki ALLUTE EMMANUEL
Tabora
1.
Nzega Mjini CHARLES MABULA
2.
Igunga
NG’WIGULU KUBE
3.
Urambo
SAMWELI NTAKAMLENGA
4.
Ulyankulu DEUS KITAPANDYA NGERERE
5.
Sikonge
SAID NKUMBA
6.
Manonga ALLY KHALFANI NGUZO
Katavi
1.
Mpanda Mjini JONAS KALINDE
2.
Mpanda Vijijini MUSSA MASANJA
3.
Katavi
GEORGE SAMBWE
4.
Nsimbo GERALD KITABU
5.
Kavuu
LAURENT SENGA MANGWESHI
Kigoma
1.
Kigoma Kaskazini DR. YARED FUBUSA
2.
Kigoma Mjini
DANIEL LUMENYELA
Ruvuma
1.
Peramiho
ELASMO MWINGIRA
2.
Mbinga Magharibi/Nyasa CUTHBERT S.
NGWATA
3.
Mbinga/Mbinga Vijijini EDWIN B
AKITANDA
4.
Songea Mjini
JOSEPH FUIME
5.
Madaba EDSON MBOGORO
|
No comments:
Post a Comment