|
Balozi wa
Canada nchini na Mwenyekti wa Barrick Gold Corporation (mmiliki mkubwa wa
Acacia) Prof. Thornton wakiongea na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam. (Picha na
Maktaba).
Kampuni
inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA imesema italipa mirabaha
iliowekwa katika sheria mpya za madini.
Sheria mpya
ya madini inawataka wawekezaji katka sekta hiyo kulipa asilimia 6 ya mirabaha
ikiwa ni ongezeko la asilimia 2 zilizokuwepo awali, ambapo asilimia 1 ni
kwaajili ya usafirishaji kwenda nje.
|
No comments:
Post a Comment