Ndege hiyo
ilikuwa safarini kutoka Myeik ikielekea Yangon.
Ndege hiyo
ilikuwa imefanya safari ya nusu saa, wakati ilipoteza mawasiliano siku ya
Jumatano.
Ndege hiyo
ilinunuliwa kutoka China mwezi Machi mwaka uliopita na tayari ilikuwa imeruka
kwa saa 809.
Mynmar
imekumbwa na ajali kadha za ndege miaka ya hivi karibuni. Lakini ajali hii ya
sasa ndio mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo.
Mwezi
Februari mwaka 2016 watu watano waliokuwa wakisafiri wakitumia ndege ya jeshi,
walifariki wakati ndege yao kuanguka kwenye mji mkuu wa Nay Pyi Taw.
Miezi mitatu
baadaye maafisa watatu, waliuwawa wakati helikopta ya jeshi ilipoanguka kati
kati mwa Mynmar.
Source: BBC
|
Thursday, June 08, 2017
Picha-Mabaki ya ndege ya Burma iliyotoweka na Abiria 122 yapatikana.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment