ads

MWANA WA MAKONDA

Picha Yetu ya Leo-Usafiri aina ya Baiskeli maarufu Ruduli kwa Kihangaza.

Ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kabanga iliyopo Kata ya Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera wakielekea majumbani kwao wakitoka Shuleni wakiwa kwenye Chombo cha Usafiri aina ya Baiskeli maarufu Ruduli kwa Kihangaza.


Mtazamo News . Powered by Blogger.