Mbunge Kasuku Bilago -"Nani katuloga Tanzania?" - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, June 13, 2017

Mbunge Kasuku Bilago -"Nani katuloga Tanzania?"

Bunge la 11 limeendelea hapo Jana June 12, 2017 katika Mkutano wake wa Saba ambapo Wabunge walikuwa wanajadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni Mhe.Samson Kasuku Bilago ,Mbunge wa Buyungu wilayani Kakonko mkoani Kigoma ambaye ameipinga Bajeti akihoji ni nani anairoga Serikali.

HAPA CHINI BOFYA KUMSIKILIZA MCHANGO WAKE BUNGENI.

Post Bottom Ad