Picha:Hiace yaua Mpanda Pikipiki na Kujeruhi wengine eneo la Msalabani-Runzewe. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 06, 2017

Picha:Hiace yaua Mpanda Pikipiki na Kujeruhi wengine eneo la Msalabani-Runzewe.

Ajali hii imetokea leo Majira ya Leo April 6, 2017 asubuhi katika eneo la Msalabani-Runzewe na kulihusisha gari la abiria aina ya Hiace mali ya Bw.Yassin wa Benaco-Ngara kumgonga Mpanda Pikipiki na kufa papo hapo na gari kuanguka.

Chanzo cha ajali kinaelezwa na mashuhuda kuwa ni mwendokasi na Majeruhi  wa ajali hiyo wako hospitali  ya Runzewe.

Taarifa zaidi tutaendelea kukuletea kupitia mtandao huu.

Post Bottom Ad