Picha:Uwanja wa ndege wa Madeira-Ureno na Jina la Cristiano Ronaldo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 25, 2017

Picha:Uwanja wa ndege wa Madeira-Ureno na Jina la Cristiano Ronaldo.

Uwanja wa ndege wa Madeira utapewa jina la Cristiano Ronaldo ili kumpa heshima mshindi huyo wa mataji Ligi ya Mabingwa Ulaya, La Liga, Ligi Kuu England na kusumbuana mno na Mchezaji wa Argentina Lionel Messi katika kuwania Ballon D'Or miaka michache iliyopita.

Utambulisho rasmi kwa Uwanja huo kwa jina lka Ranaldo utafanyika Machi 29,2017 siku ambayo Timu ya Taifa ya Ureno itamenyana na Sweden mjini Funchal.


Post Bottom Ad