Matokeo na Msimamo Ligi kuu Uingereza EPL 2016/2017. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Monday, February 06, 2017

Matokeo na Msimamo Ligi kuu Uingereza EPL 2016/2017.

Chelsea ambao ni Vinara wa Ligi Kuu England, wanaongoza sasa Pointi 12 mbele baada ya kuwatandika Arsenal 3-1 wakati Liverpool wakinyukwa 2-0 na Hull City huku Everton ikiibandika Bournemouth 6-3 na Sunderland waliokuwa Ugenini, kuinyuka Crystal Palace 4-0.

Bao la penati ya  Dakika ya 54 ya Harry Kane , iliwapa Tottenham Hotspur ushindi wa 1-0 dhidi ya Middlesbrough wakiwa kwao White Hart Lane na Matokeo hayo yamewachimbia Spurs Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 9 nyuma ya Vinara Chelsea.

Na hapa ni Msimamo ulivyo baada ya Mechi za Jana February 05, 2017.


Post Bottom Ad