Dereva kuwa Makini ifikapo eneo la Machinjioni barabara ya Benaco/Rusumo –Rwanda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 07, 2017

Dereva kuwa Makini ifikapo eneo la Machinjioni barabara ya Benaco/Rusumo –Rwanda.

Moja ya ajali ya Lori la mizigo ambayo ilitokea hivi karibuni katika mteremko wa Rusumo,wilayani Ngara mkoani Kagera eneo la Machinjioni -barabara ya Benaco/Rusumo-Rwanda.

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Ngara,Mkoani Kagera, Bw Abeid Maige  akizungumza na Mtandao huu anasema kuwa..’’ matukio ya ajali ya magari kuanguka na  watu kupoteza maisha ikiwa ni pamoja na hasara kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri, ajali hizo zinatokea zaidi mteremko wa kasharazi,    Rusumo, Nakatunga, Kumuyange, Kanazi  na maeneo mengine ambapo changamoto kubwa ni Madereva kutoku  makini,kwenda mwendo wa kasi na kutozitii sharia na  alama za usalama barabarani.










No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad