Taswira Picha 8: Meli kubwa ya Kisasa ya Azam yatia nanga Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 31, 2017

Taswira Picha 8: Meli kubwa ya Kisasa ya Azam yatia nanga Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza.

Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga Bandari ya Tanga Hapo Jana January 30, 2017.



Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.


Meli hiyo inatarajiwa kupunguza adha ya uisafiri katika bandari hiyo sambamba na kurahisisha usafirishaji wa mizigo, magari pamoja na abiria kupitia Bandari ya Tanga.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad