Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017
wakati akielekea kupanda ndege kuelekea
Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa
nchi za Umoja wa Afrika (AU).
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
atika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati
akielekea kupanda ndege kuelekea Addis
Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja
wa Afrika (AU).
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea
kupanda ndege kuelekea Addis Ababa,
Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa
Afrika (AU).
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakuu
wa vikosi vya ulinzi na usalama
katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017
wakati akielekea kupanda ndege kuelekea
Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa
nchi za Umoja wa Afrika (AU).
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi
wa Comoro nchini Dk.Ahamada El Badaoui
Mohamed katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea
kupanda ndege kuelekea Addis Ababa,
Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa
Afrika (AU).
|
No comments:
Post a Comment