Wafahamu Washindi wa Tuzo za EATV AWARDS 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 11, 2016

Wafahamu Washindi wa Tuzo za EATV AWARDS 2016.

Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za #EATVAwards 2016 Kwa Wasanii wa Muziki na Filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Tuzo hizo zilizoandaliwa na East Africa Television Ltd, zimekuwa za kwanza Afrika Mashariki, ambapo wasanii mbali mbali wamefanikiwa kujinyakulia tuzo zao.

Tazama orodha nzima ya washindi hapa chini..

Kipengele cha mwanamuziki bora wa Kiume.

G Nako – 'Original'
Sheta –'Namjua'
Mwana FA – 'Ahsanteni kwa Kuja'
Alikiba – 'Aje' --- MSHINDI
Ben Pol – 'Moyo Mashine'

Mwana muziki bora wa Kike.

Lilian Mbabazi – 'Yoola'
Ruby – 'Forever'
Lady Jay dee – 'Ndindindi' --- MSHINDI
Linah – 'No stress'
Vanessa Mdee – 'Niroge'

Mwanamuziki bora Chipukizi.

Manfongo – 'Hainaga ushemeji' --- MSHINDI
Feza Kessy – 'Sanuka'
Rukia Jumbe (Ruky Baby) – 'Mpasuo'
Bright – 'Nitunzie'
Mayunga – 'Nice couple'

Kundi bora la Mwaka.

Navy kenzo – 'Kamatia chini'--- MSHINDI
Mashauzi Clasic - 'Kismat'
Team Mistari – 'Tuzidi'
Sauti Sol – 'Unconditional bae'
Wakali wao – 'Chozi langu utalilipa'

Video bora ya Mwaka.

Njogereza – Navio
Namjua – Shetta
Aje – Alikiba -- MSHINDI
Don't Bother – Joh Makini
Ndindindi – Lady Jaydee

Wimbo bora wa Mwaka.

Don't bother – Joh Makini
Ndindindi - Lady Jayedee
Kamatia chini - Navy Kenzo
Moyo mashine – Ben Pol
Aje – Alikiba --- MSHINDI

Filamu bora ya Mwaka.

Facebook profile
 Safari ya Gwalu --- MSHINDI
Mfadhili wangu
Hii ni laana
Nimekosea wapi

Muigizaji bora wa Kiume.

Meya Shabani Khamisi
 Salim Ahmed (Gabo) --- MSHINDI
Daudi Machael (Duma)
Doto Hussein Matotola
Said Mkukila

Muigizaji bora wa Kike.

Chuchu Hansy --- MSHINDI
Rachel Bithulo
Frida Kajala Masanja
Khadija Ally

TUZO YA HESHIMA.

DJ Maarufu bongo Boniventure Kilossa (Dj Bonny Love) ndiye mtu aliyepewa tuzo maalum ya heshima, akitambuliwa kutokana na mchango wake kwenye tasnia ya sanaa hapa nchini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad