Bofya Hapa kuyatazama Matokeo yote ya mtihani wa Darasa la Saba 2016 kwa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, October 27, 2016

Bofya Hapa kuyatazama Matokeo yote ya mtihani wa Darasa la Saba 2016 kwa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera.

Baraza la Mitihani la Taifa limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi (PSLE)  mwaka 2016 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 2.

Akitangaza matokeo hayo leo (Alhamisi), Oktoba 27,2016 , Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema jumla wa watahiniwa 555,291 kati ya 789,479 waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Amesema idadi hiyo ni sawa na asilimia 70.3 ya ufaulu tofauti na ufaulu wa mwaka jana ( 2015 ) ambao ulikuwa ni asilimia 67.8.

"Hivyo kuna ongezeko la ufaulu kwa asilimia 2.52," amesema Dk Msonde.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad