Picha 10 za Mtambo Mpya wa kufua Umeme..Sasa umeme wa Uhakika Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 22, 2016

Picha 10 za Mtambo Mpya wa kufua Umeme..Sasa umeme wa Uhakika Ngara.

Mitambo mipya hii ya kufua umeme wilayani Ngara mkoani Kagera baada ya kukamilika imeondoa kwa kiasi kikubwa tatizo la mgao wa umeme kwa  wakazi wa mji wa Ngara na maeneo jirani ambapo awali ulikuwa kero sana kutokana na uchakavu wa mitambo ya kufua umeme.


Taswira Picha ya Mashine / Mitambo ya Tanesco Ngara mkoani Kagera inayozalisha umeme wa megawati 2.5 utakaotosheleza mahitaji   kwa Wakazi wa wilaya hiyo ambapo kila mashine  inazalisha umeme wa kilowati 1250. 

Pia kutakuwa na ziada ya megawati 1.5 kwani wilaya kwa sasa inatumia megawati 1 kwa siku.




Pamoja na hatua hii,Serikali inafanya mchakato wa kuhakikisha wananchi wanatumia umeme wa gridi ya Taifa ikiwa ni pamoja na ule utakaozalishwa katika maporomoko ya Rusumo na kusambazwa katika nchi za Rwanda na Burundi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad