Champions League 2016/2017-Huu ndio Msimamo wa Kundi A baada ya Arsenal na Paris St Germain kushinda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 29, 2016

Champions League 2016/2017-Huu ndio Msimamo wa Kundi A baada ya Arsenal na Paris St Germain kushinda.

Pichani ni Kipa Tomas VaclĂ­k akiwa hoi baada Walcott kumtungua.

Timu ya Arsenal imeendeleza makali yake kwa kuichapa Basle 2-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya usiku wa Jana Septembe 28,2016.

 Shujaa wa mchezo huo ni winga Theo Walcott ambaye alitupia wavuni mabao yote mawili katika dakika ya 7 na 26.

Mechi nyingine ilikuwa ni ya Ludogorets Razgrad kufungwa bao 3-1 na Paris Saint Germain huku Blaise Matuid akiipa PSG bao dakika ya 41'' na Edinson Cavani katika dakika za 56'' na 60.

Arsenal, walio Kundi A na kuanza kwa Sare ya 1-1 na PSG Ugenini, wakiwa kwao Emirates kucheza na FC Basel waliotoka 1-1 na Ludo Razgrad.   

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad