Taswira Picha Uboreshaji wa barabara za Mitaa mjini Ngara kwa Kiwango cha Lami. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 23, 2016

Taswira Picha Uboreshaji wa barabara za Mitaa mjini Ngara kwa Kiwango cha Lami.

Uboreshaji wa barabara za Mitaa mjini Ngara unaendelea Chini ya Kampuni ya SIWASA-(SIWASA CAMPANY LIMITED )  na hapa Pichani ni Taswira Picha ya Barabara ya kuingia kwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara na Mandela zikionekana kuwekewa Lami ya mwanzo ambayo huwekwa ili kuzuia Unyevunyevu na Maji kutoingia ambapo baada ya hapo itakuja Mwagwa Lami nyingine kasha Kokoto ili kuikamilisha kwa kiwango cha kawaida cha Barabara ya Lami.

Uboreshaji huu unaelezwa umekamilika kwa kiwango cha asilimia 75 na utakapokamilika utagharimu zaidi ya Shilingi Milioni 195.











No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad