Pichani ni Askari wa
kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo
kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia.
|
Askari
Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika
mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika
maeneo mbalimbali.
|
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na
magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya
uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
|
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati
wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya
uhalifu na wahalifu.
|
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya
mazoezi magumu ya kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote
yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja
na kutofuata sheria za nchi.
|
Askari
Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa
mikoa ya Lindi, Iringa, kanda maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine
wakipokea maelekezo mbalimbali wakati wa mazoezi ya tayari katika kukabiliana
na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu (Picha zote na makao makuu ya
Jeshi la Polisi.)
|
No comments:
Post a Comment