|
Aidha upungufu ni
madawati 23,806 ambayo ni sawa na asilimia 12%.
Ndugu Waandishi wa Habari, kwa
Mkoa wetu wa Kagera katika ELIMU YA SEKONDARI madawati yanayohitajika ni 72,105
Madawati ambayo ni sawa na asilimia 96%.
Aidha upungufu ni
madawati 3,198 ambayo ni sawa na asilimia 4%. Ndugu Waandishi wa Habari,
nawapongeza wananchi wote wa Mkoa wa Kagera, Taasisi za Serikali na zisizokuwa
za Serikali, Watu Binafsi pia na Makampuni mbalimbali yaliyoguswa na kuchangia
madawati katika mkoa wetu.
Aidha naendelea kuhamasisha
kila mwananchi au Taasisi itakayoguswa na suala hili la uchangiaji wa madawati
kuendelea kuchangia ili tumalize tatizo la watoto wetu kukaa chini ili wapate
elimu iliyobora katika mazingira rafiki ya kujifunzia.
Yaliyokuwepo kabla ya
agizo kutolewa ni 62,832 Madawati ambayo yametengenezwa tangu agizo kutolewa ni
4,996 Jumla ya madawati yaliyokuwepo awali na yaliyotengenezwa baada ya agizo
kutolewa ni 68,907.
|
No comments:
Post a Comment