KAGERA NA KIGOMA :-..Na Wakuu wa Wilaya Wanajeshi Wastaafu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 30, 2016

KAGERA NA KIGOMA :-..Na Wakuu wa Wilaya Wanajeshi Wastaafu.

Pichani Baadhi ya Wakuu wa wilaya wapya wakila kiapo cha uadilifu Ikulu, jijini Dar es salaam jana, June 29, 2016 kabla ya kwenda kwenye vituo vyao vya kazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Juni, 2016 alifanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 139 na katika uteuzi huo Mikoa ya Kagera na Kigoma licha ya Kuwa na Wakuu wa Mikoa Wanajeshi Wastaafu ( SOMA UTEUZI WAO HAPA CHINI ) pia imepata Wakuu wa wilaya ambao ni Wanajeshi wastaafu.
Rais Magufuli akiwa na baadhi ya wakuu wa wilaya kwenye picha ya pamoja Ikulu Jumatano ,June 29,2016.

Wilaya hizo ni Ngara, Kyerwa na Misenyi mkoani Kagera huku Mkoani Kigoma ni wilaya za Kasulu, Kakonko na Buhigwe.

KAGERA.

1.      Biharamulo   -           Saada Abraham Mallunde
2.      Karagwe         -           Geofrey Muheluka Ayoub
3.      Muleba          -           Richard Henry Ruyango
4.      Kyerwa           -           Col. Shaban Ilangu Lissu
5.      Bukoba          -           Deodatus Lucas Kinawilo
6.      Ngara             -           Lt. Col. Michael M. Mtenjele
7.      Missenyi         -           Lt. Col Denis F. Mwila
  
KIGOMA.

1.      Kigoma          -           Samsoni Renard Anga
2.      Kasulu                        -           Col. Martin Elia Mkisi
3.      Kakonko       -           Col. Hosea Malonda Ndagala
4.      Uvinza                        -           Mwanamvua Hoza Mlindoko
5.      Buhigwe         -           Col. Elisha Marco Gagisti
6.      Kibondo        -           Luis Peter Bura


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad