PICHA YETU YA LEO:-Bango lenye Ujumbe maalumu kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 02, 2016

PICHA YETU YA LEO:-Bango lenye Ujumbe maalumu kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Pichani ni Walimu kutoka wilaya ya BAHI mkoani Dodoma,wakiwa na Bango lenye Ujumbe maalumu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma,Jana May 01, 2016.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad