TASWIRA PICHA TAZAMA:-Daraja la mto KOGA -Mpanda toka Tabora. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 01, 2016

TASWIRA PICHA TAZAMA:-Daraja la mto KOGA -Mpanda toka Tabora.

Tayari agizo lilisha tolewa Mwezi January,mwaka huu 2016 kuwa magari yote kutopita katika daraja hilo la mto KOGA na kulitangaza kuwa si salama  na kwamba ipo hatari kuendelea kutumia daraja hilo kwa sasa na kuishauri Wakala wa Barabara Nchini -TANROADS kwenye mikoa ya KATAVI na TABORA kutumia sheria inayowapa mamlaka ya kuifunga barabara kwa muda.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad