MATOKEO / RATIBA ELP 2015/2016:-Manchester City,Chelsea zashinda Liverpool yatoka sare April 23,2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 24, 2016

MATOKEO / RATIBA ELP 2015/2016:-Manchester City,Chelsea zashinda Liverpool yatoka sare April 23,2016.

Manchester City imepanda hadi nafasi ya tatu katika Msimamo wa Ligi ya Uingereza 2015/2016 (TAZAMA HAPA CHINI)baada ya kuicharaza Stoke City 4-0 huku ikitarajiwa kumenyana ana Real Madrid katika kombe la vilabu bingwa Ulaya siku ya Jumanne.

Nae Cesc Fabregas alisaidia katika mabao matatu ya Chelsea akitoa pasi nzuri kwa wafungaji Pedro,Hazard na baadaye Willian kwenye Ushindi wa mabao 4 - 1 dhidi ya AFC Bournemouth.
Vilevile Newcastle United iliimarisha matumaini yao ya kusalia katika ligi ya Uingereza baada ya kutoka sare ya 2-2 na wenyeji Liverpool katika uwanja wa Anfield.

Daniel Sturridge na Adam Lalana waliiweka mbele Liverpool kabla ya Newcastle kukomboa kupitia Papis Cisse na Colback .

Leo Jumapili April 24,2016 kunamechi zingi,tazama ratiba yake hapa chini.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad