![]() |
|
Baadhi ya
wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii (bloggers &
website owner) wakiwa katika hafla maalumu ya chakula cha jioni iliyoandaliwa
na kampuni ya Simu ya Tigo kusherehekea mteja wa milioni moja katika ‘Facebook’
ya kampuni hiyo. Tigo ilitoa zawadi mbalimbali kwa wateja wanaofuatilia ukurasa
wao (Facebook page).
|
![]() |
|
Msanii
maarufu wa dansi nchini, Christian Bella akiwaburudisha wageni waalikwa katika
hafla maalumu ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo
kusherehekea mteja wa milioni moja katika ukurasa wa ‘Facebook’ wa kampuni
hiyo.
|
![]() |
|
Msanii
maarufu wa dansi nchini, Christian Bella (kulia) wa Bandi ya Malaika kulia
akicheza na mmoja wa wageni waalikwa katika hafla maalumu ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo kusherehekea mteja wa milioni moja katika
‘Facebook’ ya kampuni hiyo.
|
![]() |
|
Baadhi ya
wanamitandao ya jamii wakisakata rumba na msanii maarufu wa dansi nchini,
Christian Bella (wa tatu kulia) toka Bandi ya Malaika alipokuwa akiwaburudisha
wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii (bloggers &
website owner) katika hafla hiyo maalumu ya chakula cha jioni iliyofanyika
‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Baadhi ya
wanamitandao ya jamii wakisakata rumba na msanii maarufu wa dansi nchini,
Christian Bella (wa pili kulia) wa Bandi ya Malaika alipokuwa akiwaburudisha
wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa mitandao ya kijamii (bloggers &
website owner) katika hafla hiyo maalumu ya chakula cha jioni iliyofanyika
‘Double Tree hotel’ jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
“…TWANGA
PHOTOOO…” Baadhi ya wanamitandao ya jamii wakiji-selfie na Msanii maarufu wa
dansi nchini, Christian Bella wa Bandi ya Malaika mara baada ya kutoa burudani.
|
![]() |
|
Mshereheshaji
wa hafla hiyo, Taji Liundi (kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com, Joachim
Mushi kutoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Tigo kwa kuwakutanisha baadhi ya
wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya kijamii (bloggers & website owner).
|
![]() |
|
Mwenyekiti
wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com,
Joachim Mushi (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa kutoka
kampuni ya Tigo, Shavkat Berdiev katika hafla hiyo.
|














No comments:
Post a Comment