![]() |
|
Hadio Dakika
90, Mechi ilikwisha 1-1 na ikaja Tombola ya Mikwaju ya Penati Tano Tano na URA
kuibuka kidedea kwa Penati 4-3 zilizofungwa na Deo Othieno, Said Kyeyune, Jimmy
Kulaba na Brian Bwete wakati za Yanga zikifungwa na Kevin Yondan, Deo Munishi
na Simon Msuva huku Malimi Busungu na Geoffrey Mwashiuya wakikosa.
Mtibwa ndiyo
itaiwakilisha Tanzania kwenye fainali ya Mapinzuzi Cup siku ya Jumatano January
13, 2016 siku moja baada ya kilele cha maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|

![]() |








No comments:
Post a Comment