![]() |
|
“Mkulima na
mkazi wa Tengo wilaya ya Kahama,Lucas Deo (22) amevunjika miguu yote miwili na
wote wawili na mwenzake Asha,wamehamishiwa hospitali ya rufaa Bungando jijini
Mwanza kwa matibabu zaidi”,alisema kaimu kamanda huyo.
Haule
allisema Felix Matimati (30) mkazi wa Shinyanga mjini,yeye ameteguka mguu wa
kushoto na amepatiwa matibabu ya kuruhusiwa,wakati Alafati Said (24) mkazi wa
jijini Mwanza,amepata majeraha mguu wa kushoto,ametibiwa na kuruhusiwa.
Kaimu
kamanda huyo,alisema chanzo cha ajali hiyo ni hitilafu ya usukani wa basi hilo
na hivyo kupelekea dereva Jovin kushindwa kulimudu.Dereva huyo hivi sasa
anashikiliwa na polisi.
|
Monday, January 11, 2016
Home
HABARI
MATUKIO
AJALI / PICHA:-Mtu Mmoja Afariki Dunia na Wengine 4 wamejeruhiwa katika ajali ya basi La Mohammed Trans mkoani Singida.
AJALI / PICHA:-Mtu Mmoja Afariki Dunia na Wengine 4 wamejeruhiwa katika ajali ya basi La Mohammed Trans mkoani Singida.
Tags
# HABARI
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment