CHAN 2016-RWANDA:- Ivory Coast na ushindi huku Rwanda ikifuzu robo fainali . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, January 20, 2016

CHAN 2016-RWANDA:- Ivory Coast na ushindi huku Rwanda ikifuzu robo fainali .

Mechi ya mwisho Rwanda watakutana na Morocco tarehe 24 Januari,2016.

Rwanda imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa robofainali ya michuano ya taifa bingwa Afrika kwa wachezaji wa ndani,Kwa mwaka huu 2016, baada ya kuwafunga bao 2 – 1  Gabon.
Rwanda, ambao ni wenyeji, wakiwa uwanja wa nyumbani wa Amahoro,Mabao yao  yamefungwa na Sugira Ernest, la kwanza mwishoni mwa kipindi cha kwanza na la pili mapema kipindi cha pili.

Rwanda ilianza na ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Ivory Coast, ambao nao wameibuka na ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya  Morocco katika mchezo uliochezwa baadaye leo.

Alhamisi Januari 21,2016.

DR Congo v  Angola Stade Huye 16:00

Cameroon v  Ethiopia Stade Huye 19:00

Ijumaa Januari 22,2016.

Tunisia v Nigeria Stade Régional de Nyamirambo 16:00       

Niger  v Guinea Stade Régional de Nyamirambo 19:00     


Rwanda CHAN 2016.

Group A

Pos
Team
P
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Rwanda
2
2
0
0
3
1
2
6
2
Ivory Coast
2
1
0
1
1
1
0
3
3
Gabon
2
0
1
1
1
2
-1
1
4
Morocco
2
0
1
1
0
1
-1
1

Group B

Pos
Team
P
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Congo DR
1
1
0
0
3
0
3
3
2
Cameroon
1
1
0
0
1
0
1
3
3
Angola
1
0
0
1
0
1
-1
0
4
Ethiopia
1
0
0
1
0
3
-3
0

Group C

Pos
Team
P
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Nigeria
1
1
0
0
4
1
3
3
2
Guinea
1
0
1
0
2
2
0
1
3
Tunisia
1
0
1
0
2
2
0
1
4
Niger
1
0
0
1
1
4
-3
0

Group D

Pos
Team
P
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Zambia
1
1
0
0
1
0
1
3
2
Mali
1
0
1
0
2
2
0
1
3
Uganda
1
0
1
0
2
2
0
1
4
Zimbabwe
1
0
0
1
0
1
-1
0

  

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad