VIPAJI VYETU:- Taswira Picha 3 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kushona. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, January 20, 2016

VIPAJI VYETU:- Taswira Picha 3 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kushona.

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es salaam Januari 20, 2016… Picha na IKULU.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.


Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad