UEFA LEAGUE 2015/2016:-Hizi ndio mechi za mwisho makundi Dec 8 na 9 2015…Nani anaweza kufuzu Man United,Arsenal na Chelsea?? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 08, 2015

UEFA LEAGUE 2015/2016:-Hizi ndio mechi za mwisho makundi Dec 8 na 9 2015…Nani anaweza kufuzu Man United,Arsenal na Chelsea??

Manchester United, Arsenal na Chelsea ni miongoni mwa Timu 13 ambazo zinagombea Nafasi 7 za kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2015/2016 katika Mechi za mwisho za Makundi zitakazochezwa Desemba 8 na 9,2015.

Timu 9, ikiwemo FC Barcelona ambao ndio Mabingwa Watetezi, tayari zimeshafuzu huku Timu 7 zikiwania Nafasi ya 3 ya Makundi yao ili kucheza UEFA EUROPA LEAGUE 2015/2016 wakati tayari zipo Timu 3 zinakamilisha Ratiba tu baada ya kutupwa nje ya Mashindano haya.

 TIMU ZILIZOFUZU.

**Bado 7

Real Madrid

Paris Saint-Germain

Atlético Madrid

Benfica

Juventus

Manchester City

Barcelona

Bayern München

Zenit

TIMU ZINAZOWEZA KUFUZU.

Wolfsburg*

Manchester United*

PSV Eindhoven

AS Roma

Bayer Leverkusen

BATE Borisov

Olympiacos*

Arsenal*

FC Porto*

Chelsea*

Dynamo Kyiv*

Gent*

Valencia*

*Zina uhakika wa kumaliza ndani ya 3 Bora

TIMU ZINAZOWEZA KUMALIZA NAFASI YA 3.

Shakhtar Donetsk

Malmö

CSKA Moskva

Galatasaray

Astana

Borussia Mönchengladbach

Sevilla

TIMU ZILIZOTUPWA NJE.

Dinamo Zagreb

Maccabi Tel-Aviv

Lyon

**Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UCL na ile ya EUROPA LIGI Raundi ya Mtoano ya Timu 32 itafanyika Desemba 14,2015.
Jumanne Desemba 8,2015.

KUNDI: A:

Real Madrid (Pointi 13, Imeshafuzu) v Malmö (3)

Paris Saint-Germain (10, Imeshafuzu) v Shakhtar Donetsk (3)

KUNDI: B:

PSV Eindhoven (Pointi 7) v CSKA Moskva (4)

Wolfsburg (9) v Manchester United (8)

KUNDI: C:

Benfica (Pointi 10, Imeshafuzu) v Atlético Madrid (10, Imeshafuzu)

Galatasaray (4) v Astana (3)

KUNDI: D:  

Manchester City (Pointi 9, Imeshafuzu) v Borussia Mönchengladbach (5)

Sevilla (3) v Juventus (11, Imeshafuzu)

Jumatano Desemba 9,2015.

KUNDI: E:

Bayer Leverkusen (Pointi 5) v Barcelona (13, Imeshafuzu)

AS Roma (5) v BATE Borisov (4)

KUNDI: F:

Olympiacos (Pointi 9) v Arsenal (6)

Dinamo Zagreb (3) v Bayern München (12, Imeshafuzu)

KUNDI: G:

Chelsea (10) v Porto (10)

Dynamo Kyiv (8) v Maccabi Tel-Aviv (0)

KUNDI: H:

Gent (7) v Zenit (15, Imeshafuzu)

Valencia (6) v Lyon (1)

Mechi za Mwisho za Makundi

Jumanne Desemba 8,2015.

KUNDI A

Paris St Germain v Shakhtar Donetsk  
            
Real Madrid v Malmö FF 
            
KUNDI B

PSV v CSKA    
       
VfL Wolfsburg v Man United  
               
KUNDI C

Benfica v Atletico Madrid  
          
Galatasaray v FC Astana
             
KUNDI D

Man City v Borussia Mönchengladbach
            
Sevilla v Juventus   
          
Jumatano Desemba 9,2015.

KUNDI E

Bayer Leverkusen v Barcelona 
             
Roma v BATE Borislov 
               
KUNDI F

Dinamo Zagreb v Bayern Munich  
         
Olympiakos v Arsenal   
              
KUNDI G

Chelsea v FC Porto   
        
Dynamo Kiev v Maccabi Tel Aviv  
         
KUNDI H

KAA Gent v Zenit Saint Petersburg 
                 
Valencia v Lyon 
               
Raundi za Mtoano.

-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14,2015.

**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16

-Droo ya Robo Fainali: Machi 18,2016.

**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13

-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15,2016.

**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4

FAINALI

Mei 28,2016.

San Siro, Milan, Italy

 Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad