FAHAMU HII:-SUMATRA yaanza kuweka Stika za Madaraja ya Mabasi Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 08, 2015

FAHAMU HII:-SUMATRA yaanza kuweka Stika za Madaraja ya Mabasi Tanzania.

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini Tanzania (SUMATRA) imeaza kuweka  STIKA ZA MADARAJA YA MABASI ili kumuwezesha Abiria kujua  DARALA LA BASI Analopanda kulingana na Nauli yake.

Tazama Picha namna Stika za Madaraja hayo zilivyowekwa hapa chini.



Picha zote kwa hisani ya -RSA TANZANIA / USALAMA BARABARANI JUKUMU LETU SOTE
 Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad